Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki PSG akabidhiwa Jezi ya Yanga

Hakimi Jezi Yanga Beki PSG akabidhiwa Jezi ya Yanga

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC, Hersi Said akimkabidhi jezi ya timu hiyo mgeni wake, beki wa Mmorocco mzaliwa wa Hispania, Achraf Hakimi Mouh anayechezea klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa ambaye yupo nchini kwa ziara ya wiki moja tangu juzi.

Rais wa Yanga SC, Hersi Said akimkabidhi jezi ya timu hiyo mgeni wake, beki wa Mmorocco mzaliwa wa Hispania, Achraf Hakimi Mouh anayechezea klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa ambaye yupo nchini kwa ziara ya wiki moja tangu juzi. Hakimi ameambatana na rafiki zake saba ambao kwa pamoja watakuwa nchini kwa wiki moja na mwenyeji wao, Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Klabu Afrika (ACA) kutembelea vivutio mbali mbali vya kiutalii nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: