Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bao la Musonda lashinda bao Bora la wiki CAF (+Video)

Kennedy Musonda Bao Bora Mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda

Mon, 22 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la pili la Yanga kwenye nusu fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika lililofungwa na Kenedy Musonda akipokea pasi ya Fiston Mayele katika uwanja wa Royal Bafokeng walipocheza dhidi ya Marumo Gallants limeshinda bao bora la wiki kwenye michuano hiyo. Katika mechi hiyo bao la kwanza lilifungwa na Fiston Mayele.

Yanga inakuqa tuzo yao ya pili katika hatua hiyo baada ya mechi ya kwanza kwa Mkapa Azizi KI alibeba tuzo hiyo waliposhinda mabao 2-0 huku la pili likiwekwa na Bernard Morrison.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: