Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bacca asaini mkataba mpya Yanga, apigwa mamilioni

Fc Bacca Bacca asaini mkataba mpya Yanga, apigwa mamilioni

Mon, 5 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

RAIS wa klabu ya Yanga, Eng Hersi Ally Said amethibitisha kuwa mlinzi Ibrahim Hamad ‘Bacca’ amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia Yanga SC sambamba na nyongeza ya mshahara mkubwa.

RAIS wa klabu ya Yanga, Eng Hersi Ally Said amethibitisha kuwa mlinzi Ibrahim Hamad ‘Bacca’ amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia Yanga SC sambamba na nyongeza ya mshahara mkubwa. Akizungumza kupitia #WasafiFM Eng Hersi Ally Said amesema; “Hii ni Exclusive ambayo naitoa hapa @wasafifm, Ibrahim Bacca Tumemuongezea Mkataba na Mshahara Mkubwaa. Sivwezi kuutaja hapa Kwasababu ni mkataba wa siri wa pande mbili."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: