Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bacca: Tumejiandaa kufanya kazi iliyotukuka

Fc Bacca Ibrahim Bacca

Sat, 27 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca amewaomba Watanzania wote kuwatakia baraka katika mchezo wa fainali kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger utaochezwa kesho Mei 28, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca amewaomba Watanzania wote kuwatakia baraka katika mchezo wa fainali kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger utaochezwa kesho Mei 28, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. “Sisi kama wachezaji tumejianda kwa kiasi kikubwa kuhakikisha tunapambana kupata matokeo katika mchezo wa kwanza,” Beki wa Yanga Ibrahim Bacca.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: