Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya Zouzoua, huyu ndie anaefuata kutambulishwa Yanga

Ally Kamwe Afafanua Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe

Thu, 20 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Klab ya Yanga kumtambulisha Kiungo wao Mpya kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast Pacome Zouzoua.

Taarifa zinasambaa kuwa siku ya leo Julai 20 atatambulisha chuma kingine cha moto Unaambiwa,ili kufunga Usajili wao, Bado wawili

Mzawa (Simon Msuva)

Mshambuliaji wakigeni (Cameroon/Ivory Coast)

Lakini kuna zaidi ya 60% Mshambuliaji wa mpya wa Yanga ajae akawa ni raia kutoka Cameroon.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: