Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Kennedy Juma apewa "Thank You" Simba SC

Kennedy Juma ThaNK You.jpeg #BREAKING: Kennedy Juma apewa "Thank You" Simba SC

Thu, 20 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu ya Simba, mlinzi wa kati Kennedy Wilson Juma hatokuwa sehemu ya kikosi cha Mnyama kuelekea msimu mpya baada ya mkataba wake kumalizika.

Kennedy Juma alijiunga na Simba Julai 2019 akitokea katika Klabu ya Singida United ya Mkoani Singida.

Kwa sasa Kennedy Juma anatajwa kumalizana na Klabu ya Coastal Unioni ambao watashiriki Michuano ya Kombe la Shirikisho msimu ujao

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: