Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Namba sita wa Yanga tunamjua watano tu

Namba Sita (600 X 383) Ally Kamwe: Namba sita wa Yanga tunamjua watano tu

Wed, 5 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wengi wakiendelea kubashiri mrithi wa jezi ya Kiungo Feisal Salum alietimkia Azam FC.

Afisa habari wa Yanga Ally Kamwe ameibuka na kuwataka watu waache kujiumiza vichwa kwani hakuna mtu anaemjua mchezaji huyo zaidi ya watu watano tu ambao wanatoka Klabu ya Yanga.

Akizungumza Ally Kamwe anasema;

“ Namba sita hajulikani ,tunamjua watu watano Yanga nzima , hii ndio uone Yanga stori zetu huwa hazivuji lakini wenzetu picha kibao , Sisi utaona tu kwenye magazeti Yanga mpya lakini hujui Yanga ipi ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: