Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kiba ahamia Simba, aachia ngoma mpya ya 'Simba Day'

Kiba Simba SC Ali Kiba ahamia Simba

Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amejiunga rasmi kuwa shabiki wa klabu ya Simba na kukabidhiwa kadi na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Imani Kajula usiku huu jijini Dar es Salaam.

Kiba pia ametangazwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika kilele cha tamasha hilo Jumapili, Agosti 6 katika Uwanja wa Mkapa.

Pia Kiba ametambulisha wimbo wa Simba Mnyama ambao unaendana na kauli mbiu ya Tamasha hilo kwa mwaka huu ya 'Unyama Mwingi'.

Kiba alikuwa shabiki wa Yanga.

Je una neno lipi la kumwambia Ali Kiba? Tuachie Comment yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: