Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Ngereza: Mo Dewji anaumizwa na mafanikio ya Yanga

Ngereza X Mo Dewji Alex Ngereza: Mo Dewji anaumizwa na mafanikio ya Yanga

Thu, 20 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Rais wa Heshima na Mwekezaji katika Klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo'akionekana kuibua taharuki za mara kwa mara katika Klabu ya Simba kutokana na kauli zake.

Mchambuzi wa Michezo kutoka kituo cha TV3 Alex Ngereza ameeleza sababu za Bilionea huyo kuzua sintofahamu za mara kwa mara kalabuni

"Mo Dewji ameingia ndani ya klabu ya Simba akiwa na umri mdogo lakini ameshindwa kuifanya klabu ya Simba SC ifanikiwe zaidi kwenye upande wa Kibiashara".

"Klabu ya Yanga SC kibiashara na imefanikiwa kusaini mikataba mingi sana ambayo inaonekana ni modogo midogo lakini imeonekana kuwa na manufaa sana".

"Dewji ameshindwa kuitengeneza klabu ya Simba ifanikiwe zaidi kibiashara bali ameitengeneza klabu hiyo imtegemee zaidi"

Je unakubaliana na mchambuzi huyo? Tuachie maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: