Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Ngereza: Mkude hakustahili kuitwa Stars

Alex Ngereza X Mkude Alex Ngereza: Mkude hakustahili kuitwa Stars

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maswali bado ni mengi kuliko majibu kuhusiana na namna uitwaji wa Kikosi cha Taifa Stars ulivyokwenda Chini ya Kocha Adel Amrouche.

Wengi wanaona kuwa kuna wachezaji wengi waliostahili kuitwa hawajaitwa na wale wasiostahili kuitwa ndio walioitwa.

Mchambuzi wa Michezo kutoka TV3, Alex Ngereza yeye anahoji ni vigezo vipi vilivyotumika kumuita Mkude hali ya kuwa Fei Toto ameachwa wakati Fei amekuwa na kiwango bora kuliko Mkude.

Alex anasema;

"Jonas Mkude hakustahili kuitwa timu ya taifa kwa kipindi hiki kwasababu hakuwa na kiwango kizuri sana bora angeitwa feisal Salum yeye ameonyesha kiwango kizuri kuliko Mkude"

Je una neno gani kwa Mchambuzi huyu? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: