Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Simba sio timu ya mchezaji mmoja (+Video)

Ahmed Ally Ngao Ya Jamii Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally akizungumza baada ya timu yake kushinda Ngao ya Jamii 2023 dhidi ya Yanga katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Ahmed ametamba kuwa kukosekana kwa mlinzi wa Inonga Baka hakikuwa kikwazo cha kubeba Kombe kwani Simba kwa sasa imekamilika na haina haja ya kumtegemea mchezaji mmoja.

Msikilize kwa urefu Ahmed akitamba kwenye Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: