Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu watatu wafariki kwa kutumbukia chooni

Dfb Choo Watu watatu wafariki kwa kutumbukia chooni

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu watatu ambao ni Denis Philbert (40), Ayoub Benjamin (35) na Fravius Babilige (30) wakazi wa Kata ya Katoma wilaya ya Bukoba mkoani Kagera wamefariki dunia baada ya kupata ajali kwa kutumbukia kwenye shimo la choo wakati wakitoa mbao zilizokuwa zimetumika kujengea choo hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: