Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taa ilivyogharimu maisha ya mke na mtoto wa polisi

Taa Nyie Taa ilivyogharimu maisha ya mke na mtoto wa polisi

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mke wa Askari Polisi wilayani Kiteto aitwaye Nurya Mkondya, pamoja na mtoto wake Joas Oscar (2) wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 21, 2023, baada ya kutokea kwa shoti ya umeme chumbani iliyopelekea taa kudondoka kitandani na kuunguza neti na godoro wakati wakiwa wamelala.

Mke wa Askari Polisi wilayani Kiteto aitwaye Nurya Mkondya, pamoja na mtoto wake Joas Oscar (2) wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 21, 2023, baada ya kutokea kwa shoti ya umeme chumbani iliyopelekea taa kudondoka kitandani na kuunguza neti na godoro wakati wakiwa wamelala. Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara RPC George Katabazi, amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kusema waliopoteza maisha ni familia ya Askari Polisi wilaya ya Kiteto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: