Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majambazi wauawa kwa risasi wakitaka kuvamia kituo cha mafuta

RISASI 2222222222 Majambazi wauawa kwa risasi wakitaka kuvamia kituo cha mafuta

Sun, 3 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi Mkoa Njombe limefanikiwa kuwakamata majambazi watatu, baada ya kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi, walipokuwa wakijaribu kuvamia kituo cha mafuta cha ORYX, kilichopo Mtaa wa Mjimwema, Mjini Njombe, jirani na kituo kikuu Cha mabasi Cha Mkoa wa Njombe.

Jeshi la Polisi Mkoa Njombe limefanikiwa kuwakamata majambazi watatu, baada ya kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi, walipokuwa wakijaribu kuvamia kituo cha mafuta cha ORYX, kilichopo Mtaa wa Mjimwema, Mjini Njombe, jirani na kituo kikuu Cha mabasi Cha Mkoa wa Njombe. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo John Imori, amesema waliamua kuwapiga risasi majambazi hao, baada yakukataa kutii amri halali ya Jeshi hilo, iliyowataka walale chini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: