Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magari ya mizigo yagongana Manzese

Ajali Mdzz Magari ya mizigo yagongana Manzese

Thu, 15 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu watatu wamefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya magari mawili ya mizigo kugongana uso kwa uso katika eneo la Manzese Manispaa ya Kahama – Shinyanga.

Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Janeth Magomi amesema ajali hiyo imetokea mapema leo baada ya dereva wa gari la mchanga kukatisha ghafla na kusababisha gari lililokuwa na mzigo wa kahawa kupoteza mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari jingine la mizigo.

Amesema miongoni mwa waliofariki ni dereva wa gari lenye namba T.195 EEY lililokuwa likitokea Bukoba likiwa na mzigo wa kahawa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: