Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shilole ataka watoto walindwe mitandaoni

Shiloleeee S Shilole ataka watoto walindwe mitandaoni

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed maarufu ‘Shilole’ amewataka wanawake wawalinde watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia na matumizi ya mitandao ya kijamii.

Shilole amesema hayo jana Machi 5, 2023 wakati akizungumza na wanawake wa Wilaya ya Pangani ikiwa ni kuelekea siku ya wanawake duniani.

Amesema wanawake ndio wana jukumu kubwa la malezi kwa watoto wao, hivyo wawalinde dhidi ya vitendo vya ukatili pamoja na utandawazi uliopo kwenye mitandao ya jamii.

“Kuna ukatili mkubwa kwenye mitandao ya kijamii hivyo walindeni watoto wenu wasiharibike, kwani Taifa linawategemea,” amesema Shilole.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: