Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiba ashirikisha msanii wa kike baada ya miaka 11

Kiba Sabah Kiba ashirikisha msanii wa kike baada ya miaka 11

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 2012, staa wa Bongo Fleva, Alikiba alimshirikisha Komando Lady Jadee kwenye wimbo wake "Single Boy" baada ya hapo kwa zaidi ya miaka 10 Alikiba hajawahi kumshirikisha Mwanamuziki wa kike katika nyimbo zake.

Hatimaye hivi sasa Alikiba amemshirikisha tena Mwanamuziki wa kike kwenye wimbo wake ambao umetoka leo saa tano asubuhi.

Wimbo unaitwa "Yalaiti", amemshirikisha mkongwe wa taarabu Sabaha Salum.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: