Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiba amlipua Gigy Money "Sina mazoea na wewe"

Gigy Na Alikiba Kiba amlipua Gigy Money "Sina mazoea na wewe"

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Gigy money kukana kutoka kimapenzi na Diamond na kudai ambaye alishatoka naye ni Alikiba tu na ndo anamjua kila kitu ambapo gigy amefanya interview na vyombo vya habari. Alikiba ameonesha kuchukizwa na kauli iyo ya Gigy kupitia Instagram ya king kiba amemtag gigy na kuandika ujumbe huu.

"Gigy money iwe mwanzo na mwisho wako kukusikia unaniongelea kwenye mitandao na vyombo vya habari Kuwa umetembea na mimi.

"Sijawahi kuwa EX wako stop this nonsense, mimi nakuheshimu ila wewe unanivunjia heshima, sina namba yako wala mazoea na wewe, next time sheria itaongea," ameandika Alikiba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: