Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamke apigwa risasi sehemu za siri

Risasi Ukeni Mwanamke apigwa risasi sehemu za siri

Fri, 28 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja nchini Somalia (jina limehifadhiwa) aliripotiwa kupigwa risasi serhemu za siri baada ya risasi iliyopotea kuingia nyumbani kwake akiwa ameketi sebuleni kwake na kuathiri vulva, clitoris, vagina, uterus, na ogani nyingine za sehemu za siri za mwanamke huyo.

Baada ya risasi hiyo kupenya dari ya sebule yake, mwanamke huyo wa Kisomali mwenye umri wa miaka 24 alisafirishwa hadi hospitali ya Erdoğan Hospital mjini Mogadishu kwa matibabu.

Kwa mujibu wa daktari aliyemtibu, Dr. Kal amesema kuwa, uchunguzi wa CT scan ulithibitisha kwamba risasi iliingia ndani ya uke wake, kulingana na Daily Mail.

Kulingana na Jarida la Kimataifa la Uchunguzi wa Upasuaji, hii inaweza kuwa kesi ya kwanza ambapo mtu alipigwa risasi kwenye uke na risasi ilibidi kuondolewa kwa upasuaji ambapo kwa sasa imeelezwa kuwa anaendelea vziuri na ameruhusiwa kurejea nyumbani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: