Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji kuja na Mo Boxing

Mo Dewji Mo Boxing Mo Dewji kuja na Mo Boxing

Wed, 20 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania Mohammed Dewji ambaye kwa miaka ya karibuni alitangaza kuwekeza kwenye Club ya soka ya Simba, jana ametangaza kuupa macho aina nyingine ya mchezo nchini Tanzania.

Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania Mohammed Dewji ambaye kwa miaka ya karibuni alitangaza kuwekeza kwenye Club ya soka ya Simba, jana ametangaza kuupa macho aina nyingine ya mchezo nchini Tanzania. Bila kuwa na maelezo marefu wala kusema ni siku gani, Mohammed Dewji (47) ameweka katika mitandao yake ya kijamii video fupi yenye kuashiria kwamba “mo boxing” inakuja hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: