Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azikwa akiwa hai

Kaburi Halaiki Malawi Kaburi

Sun, 2 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Atey Obonyo ( 30) raia wa Kenya amefariki baada ya ajali ya kusikitisha wakati akichimba choo cha shimo. Atey alikuwa ndani ya choo hicho wakati kuta zake zilipoanguka ghafla akazikwa hai.

Wenyeji walijaribu kumwokoa lakini hawakuweza licha ya kupata msaada kutoka Shirika la Msalaba Mwekundu Kenya. Mwili wake ulipatikana baadaye na kupelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Kinara.

Rafiki wa marehemu amewalaumu wenzake kwa kukimbia eneo la tukio baada ya kuona kuwa kuta zimeanguka akidai kwamba kama wangebaki au kupiga kelele kwa msaada labda wangemwokoa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: