Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabi kufuta utawala wa Mamelodi Afrika Kusini?

Nabi Kaizer CP.jpeg Nabi kufuta utawala wa Mamelodi Afrika Kusini?

Wed, 24 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Kaizer Chiefs ‘Amakhosi’ ambayo sasa inanolewa na kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi imeanza harakati za kumsajili Thibang Phete anayekipiga GD Chaves ya Ureno.

Nyota huyo wa kimataifa wa Afrika Kusini ana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo mkabaji na beki wa kati.

Timu hiyo yenye wapenzi wengi Afrika Kusini imepania kumaliza ‘utawala’ wa Mamelodi Sundowns mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: