Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fatma Karume: TFF wametupa dakika 10 tu!

Fatma Karume X Fei Sio Mtumwa Fatma Karume na Feisal Salum

Fri, 5 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fatma Karume ambaye ni Mwanasheria wa Mchezaji Feisal Salum, amesema jana walipewa dakika kumi pekee za kuzungumza katika shauri lao kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka (TFF) Jijini Dar es salaam na kusema kitendo hicho kimefanya washindwe kuongea hoja za msingi kwenye dakika hizo chache.

“Huwezi ukanipa dakika 10 kufafanua maandishi ambayo mmoja kaandika kurasa sita mwingine kaandika kurasa saba, wamesema watatoa maamuzi yao tunasubiria hayo maamuzi yao.

"Lakini inavyoonekana hatujui TFF wanavyoendesha hili shauri, ni kama kuna kitu. Kwa nini mchezaji alazimishwe kuchezea hiyo timu wakati hataki? “ amesema Fatma Karume.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: