Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho atapika nyongo ishu ya Tuzo za TFF

Aucho Tuzooo Aucho atapika nyongo ishu ya Tuzo za TFF

Thu, 25 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukosekana katika kinyang’anyiro cha Kiungo Bora, kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho ni kama ametema nyongo kwa kuandika ujumbe katika ukurasa wake.

Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) jana lilitoa orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali, lakini hakukuwa na jina la Aucho katika nafasi ya kiungo.

Aucho ameandika “ Hakuna tuzo bora kuliko upendo wako na msaada. Mashabiki wangu wapendwa asanteni kila mara kwa kuniunga mkono tangu siku ya kwanza. Asante sana”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: