Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watano mbaroni kwa wizi wa Injini 12 za Boti

PixelLab Watano mbaroni kwa wizi wa Injini 12 za Boti

Wed, 14 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera, linawashikilia watu watano kwa kuhusika na wizi wa mashine 12 za Boti Wilayani Musoma, Bariadi, Bunda na Busega katika mwambao wa ziwa victoria.

Akizungumza na vyombo vya Habari Ofisi kwake, Kamanda wa Polisi Mkoani wa Kagera Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Blasius Chatanda amesema jeshi hilo lilianzisha msoko katika ziwa Victoria baada ya kupata taarifa ya wizi wa mashine za kuvulia samaki kutoka kwa Waamaria wema.

Amesema, kuanzia Juni – Agosti 11, 2024 walifanikiwa kukamata mtandao huo wa Wizi ambapo kati ya watu hao kuna wezi wa ziwani wanao husika na uporaji wengine ni wanunuzi ambao walianza kuzibadilisha.

“Hapa tumekamata wezi walioshuriki upolaji ziwani na wanunuzi walioshiriki maana hakuna wizi wa mari bila mnunuzi,” alisema Kamanda Chatanda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: