Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tarimo afia kwenye dhimo la mafuta

Shimo La Mafuta Z Tarimo afia kwenye dhimo la mafuta

Fri, 9 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana aliyefahamika kwa jina la Shalom Tarimo (21) amefariki dunia leo Agosti 9, 2024, wakati akifanya usafi katika kituo cha mafuta cha Uhuru Peak mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Tarimo ambaye alikuwa kijana wa kazi amefariki dunia kwa kutumbukia kwenye kisima cha mafuta wakati akijaribu kuokota simu iliyomponyoka mfukoni.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika na kuchukua takribani saa moja kutoa mwili wa marehemu katika kisima hicho kilichopo katika kituo cha mafuta cha Total Energies cha Uhuru Peak.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: