Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens mshindi wa 3 Ngao ya Jamii

Simbaqueensctz 1728148109781.jpeg Simba Queens mshindi wa 3 Ngao ya Jamii

Sat, 5 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya wanawake Klabu Simba SC, Simba Queens imefanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada kuichakaza bila huruma magoli manne bila majibu timu ya CEASIAA katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ngao ya Jamii kwa timu za mpira wa miguu za wanawake

Simba Queens ilitolewa na Yanga Princes hatua ya nusu fainali kwa mikwaju ya penati huku CEASIAA akitolewa na JKT Queens.

Baada ya mchezo huo, fainali inawakutanisha Yanga Princes na JKT Queens katika uwanja wa KMC jioni hii, Saa 9:30.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: