Menu ›
Habari
Tue, 8 Oct 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mwamuzi Hance Mabena amefungiwa miezi mitatu kuchezesha ligi kuu ya NBC baada ya kutoa penati kwa TZ Prisons ambayo haikuwa Sahihi.
Mwamuzi Hance Mabena amefungiwa miezi mitatu kuchezesha ligi kuu ya NBC baada ya kutoa penati kwa TZ Prisons ambayo haikuwa Sahihi. TZ Prisons walicheza dhidi ya Fountain Gate na walifaidika na maamuzi ya mkwaju wa penati kwa kushinda mabao 3-2 dhidi ya Fountain Gate FC, pale Sokoine Mbeya.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: