Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KenGold wapata ushindi wa kwanza Ligi Kuu

Kengoldsctz 1728049189300.jpeg KenGold wapata ushindi wa kwanza Ligi Kuu

Fri, 4 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya KenGold kwa mara ya kwanza imeshinda mchezo wa kwanza tangu wapande kucheza ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu wakitembeza kichapo cha goli 1-0 wakiwa ugenini dhidi ya JKT.

Goli pekee lilipoleka alama tatu kwa wazee wa makarasha limefungwa na Herbet Lukindo dakika ya 68 ya mchezo.

Kengold wamevuna alama tatu zilizowafanya kukusanya jumla ya alama 4 mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara wakiwa wamecheza michezo saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: