Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Pilato wa Dabi ya Kariakoo

Kayokooooooo Ramadhan Kayoko

Fri, 18 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ramadhan Kayoko (DSM) ndiye mwamuzi atakayechezesha mechi ya Kariakoo Derby siku ya kesho Oktoba 19 kati ya Simba dhidi ya Yanga.

Ramadhan Kayoko (DSM) ndiye mwamuzi atakayechezesha mechi ya Kariakoo Derby siku ya kesho Oktoba 19 kati ya Simba dhidi ya Yanga. Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: