Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamza hati hati kuicheza mechi ya Dabi

Abdulrazack Hamza Jj Mlinzi wa kati wa Simba Abdulrazack Hamza

Fri, 18 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa Simba Abdulrazack Hamza "Spear Jr" amerejea mazoezini baada ya kupona majeraha yake.

Jana alihusika kwenye mazoezi na leo Oktoba 18 atafanya mazoezi full kwaajili ya mechi ya kesho dhidi ya Yanga.

Kucheza kesho bado ni 50/50.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: