Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Tunaenda kucheza na Timu kubwa ambayo imetuzidi

Gamondii X Ahmed Ally Ahmed Ally: Tunaenda kucheza na Timu kubwa ambayo imetuzidi

Fri, 18 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amekiri kuwa klabu ya Yanga ni kubwa kuliko Simba kutokana na umri hadi mafanikio upande wa mataji ya Ligi waliyotwaa.

"Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe nane [8] ya ligi.

Hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: