Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafahamu mastaa EPL watakaokichafua AFCON 2023

Onana Salah Fdb Wafahamu mastaa EPL watakaokichafua AFCON 2023

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) itaanza miezi michache ijayo, huku wachezaji zaidi ya 40 kutoka Ligi Kuu ya England (EPL) wakitarajiwa kujiunga huko, ikimaanisha watakosa wiki kadhaa za michuano ya EPL.

AFCON itafanyika kuanzia Januari 13 hadi Februari 11. Orodha ya hadi sasa kwa kila klabu zinazotoa wachezaji ni kama ifuatavyo:

Arsenal

Mohamed Elneny (Misri), Thomas Partey (Ghana)

Aston Villa

Bertrand Traore (Burkina Faso)

Bournemouth

Hamed Traore (Ivory Coast), Dango Ouattara (Burkina Faso), Antoine Semenyo (Ghana)

Brentford

Bryan Mbeumo (Cameroon), Yoane Wissa (DR Congo), Frank Onyeka (Nigeria)

-

Brighton

Simon Adingra (Ivory Coast), Tariq Lamptey (Ghana), Carlos Baleba (Cameroon)

-

Burnley

Lyle Foster (South Africa), Anass Zaroury (Morocco)

-

Chelsea

Nicolas Jackson (Senegal)

-

Crystal Palace

Jordan Ayew (Ghana), Jeffrey Schlupp (Ghana), Cheick Doucoure (Mali)

-

Everton

Idrissa Gueye (Senegal), Abdoulaye Doucoure (Mali)

Fulham

Fodo Ballo-Toure (Senegal), Calvin Bassey (Nigeria), Alex Iwobi (Nigeria)

Liverpool

Joel Matip (Cameroon), Mohamed Salah (Egypt)

Luton Town

Issa Kabore (Burkina Faso), Pelly Ruddock Mpanzu (DR Congo)

Manchester United

Andre Onana (Cameroon), Hannibal Mejbri (Tunisia), Sofyan Amrabat (Morocco)

Nottingham Forest

Serge Aurier (Ivory Coast), Willy Boly (Ivory Coast), Ibrahim Sangare (Ivory Coast), Moussa Niakhate (Senegal), Cheikhou Kouyate (Senegal), Ola Aina (Nigeria), Taiwo Awonyi (Nigeria)

Sheffield United

Ismaila Coulibaly (Mali), Anis Ben Slimane (Tunisia), Benie Traore (Ivory Coast), Yasser Larouci (Algeria)

Tottenham

Pape Matar Sarr (Senegal), Yves Bissouma (Mali)

West Ham

Mohammed Kudus (Ghana), Said Benrahma (Algeria), Nayef Aguerd (Morocco), Maxwell Cornet (Ivory Coast)

Wolverhampton Wanderers

Rayan Ait-Nouri (Algeria), Boubacar Traore (Mali).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: