Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vini Jr awashukuru waliomuunga mkono

Vinicious Jr Jr.jpeg Vini Jr awashukuru waliomuunga mkono

Fri, 26 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Brazil anayekipiga katika Klabu ya Real Madrid inayoshiriki Ligi ya La Liga, Vinicius Junior amewashukuru wote walioungana nae kupinga vitendo vya kiubaguzi nchini Hispania

Hii ni baada ya dhuruma kubwa (vitendo vinavyoaahiria ubaguzi wa rangi) iliyojitokeza siku chache nyuma dhidi yake walipokutana na timu ya Valencia.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Twitter ameandika “Los amo!!! gracias, gracias y gracias!” akimaanisha anawashukuru tena na tena kwa kujumuika nae kupinga vitendo hivyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: