Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ancelotti afunguka kiwango kibovu dhidi ya Mallorca

Vini Jr Mbappe Ancelotti afunguka kiwango kibovu dhidi ya Mallorca

Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kiwango kibovu walichoonyesha wachezaji wake dhidi ya Real Mallorca, Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema kuna namna anatakiwa afanye ili kuwapishanisha Kylian Mbapppe na Vinicius Jr.

Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Hispania (LaLiga) uliopigwa hivi karibuni, Madrid wakiwa ugenini waliambulia sare ya bao 1-1.

"Vinicius au Kylian Mbappé wote wanacheza winga ya kushoto. Ni lazima nichague. Ni mmoja tu ndio atakayecheza hapo.

"Hatukuwa na mchezo mzuri dhidi ya Mallorca, tunahitaji kuwa na balance uwanjani. Tulikosa kabisa balance, tunapaswa kulinda vyema," amesema DOn Carlo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: