Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vigogo wa Zambia watua kwa Luis Miquissone

Jose Luis Miquissone JJ.jpeg Jose Luis Miquissone

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada tu ya Klabu ya Simba kutangaza kuwa wameachana na Luis Jose Miquissone, tayari vilabu kadhaa kutoka Afrika vimeanza mazungumzo na mchezaji huyo kutoka Msumbiji.

Vilabu vya Zesco United na APR vinaendelea kufuatilia hali ya Luis huku wakiendelea kufanya mazungumzo na wakala wake.

Luis sasa yuko na familia yake Tete (Mozambique) kwa ajili ya mapimziko mafupi kisha atatangaza mustakabali wa soka lake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: