Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Waarabu wamsaka Inonga

Henock Inonga Baka Kazi Mlinzi wa Simba SC, Henock Inonga Bacca

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zinazovuma hivi sasa katika Klabu ya Simba zinadai kuwa, Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco ipo mbioni kukamilisha dili la kumsajili mlinzi wa Simba SC, Henock Inonga Bacca kwenye dirisha dogo la usajili mwezi January.

Taarifa zinazovuma hivi sasa katika Klabu ya Simba zinadai kuwa, Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco ipo mbioni kukamilisha dili la kumsajili mlinzi wa Simba SC, Henock Inonga Bacca kwenye dirisha dogo la usajili mwezi January. Inaelezwa tayari Rs Berkane wameshafikia makubaliano ya maslahi binafsi na mchezaji na tayari wamefikia dau lililohitajika na Waajiri wake Simba SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: