Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Simba kuvunja benki kwa mchezaji huyu

Banfa Sylla Banfa Sylla

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC inaelezwa kwamba tayari wameshaanza maandalizi ya dirisha dogo la Usajili na inatajwa kuwa kiungo wa ulinzi, Banfa Sylla kutoka klabu ya MAS Fes ya Morocco ndiye anayepigiwa chapuo la kutua Msimbazi ili kuongeza nguvu eneo la ulinzi

Klabu ya Simba SC inaelezwa kwamba tayari wameshaanza maandalizi ya dirisha dogo la Usajili na inatajwa kuwa kiungo wa ulinzi, Banfa Sylla kutoka klabu ya MAS Fes ya Morocco ndiye anayepigiwa chapuo la kutua Msimbazi ili kuongeza nguvu eneo la ulinzi Tangu kuondoka kwa Thadeo Lwanga, Simba haijampata kiungo mkabaji halisia hivyo kumpata huyu itakata kiu yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: