Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Simba kusaka mbadala wa Baleke Januari

Jean Baleke MTIBWA 2 1140x640 Straika wa Simba, Jean Baleke

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Jean Othos Baleke huenda akatimka klabuni hao kwenye kipindi cha dirisha dogo la usajili la mwezi January barani Ulaya.

Baleke anatajwa kujiunga na klabu moja inayoshiriki moja ya Ligi nchini Ufaransa.

Iwapo Baleke ataondoka, basi Simba watapaswa kusaka Mshambuliaji mpya kuziba pengo la Straik huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: