Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika la magoli hili hapa Simba SC

Images Cms Image 000045714.png Agostinho Cristóvão Paciência

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaelezwa kuwa Simba SC ipo kwenye mipango ya kumsainisha mshambuliaji wa Al Ittihad Alexandria ya nchini Misri, Agostinho Cristóvão Paciência maarufu Kwa Jina la Mabululu raia wa Angola.

Hii ni kufanya maboresho kwenye safu ya ushambuliaji ya kikosi hicho na za ndani kabisa zinaeleza kuwa huenda akawa mchezaji anaelipwa mshahara mnono zaidi kwenye Ligi Kuu Bara.

Nyota huyo amefunga magoli 10 kwenye mechi 16 za Egyptian Premier League msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: