Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simon Adingra Mchezaji Bora Chipukizi AFCON 2023

Simon Andingra Simon Adingra

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga klabu ya Brighton ya Ligi kuu England na timu ya Taifa Ivory Coast, Simon Adingra (22) ameshinda tuzo ya mchezaji mmoja Chipukizi wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 baada ya kuisaidia Ivory Coast kutwaa ubingwa wa michuano hiyo iliyofanyika nchini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: