Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yampa 'Thank You' Willy Onana

Onana App 1024x733 Simba yampa 'Thank You' Willy Onana

Thu, 15 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imemuaga rasmi kiungo mshambuliaji wake, Willy esomba Onana raia wa Cameroon ambaye ameitumikia klabu hiyo kwa msimu mmoja.

Onana alikubali kuachwa ili klabu iweze kupata nafasi ya golikipa mpya Mousa Camara raia wa Guinea aliyeongezwa kikosini hapo.

Aidha, ujio wa mshambuliaji mpya Leonel Ateba usiku wa leo utamuondoa golikipa Ayoub Lakred.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: