Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wazikosa Milioni 10 za goli la Mama, Msigwa afafanua (+Video)

Video Archive
Sat, 21 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri hauna goli la Mama kutokana na matokeo ya mabao 2-2.

Pia ameeleza kuwa kama Wizara wamejifunza namna ya kuandaa matukio makubwa ya mpira wa miguu.

Pia ametoa rai kwa mashabiki kuwa watunze miundombinu ya Uwanja kwani Serikali imefanya kazi kubwa na nzuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: