Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba warudi tena kwa Milton Karisa

Milton Karisa M.jpeg Milton Karisa

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba inaungana na Klabu APR ya nchini Rwanda kuiwania saini ya mchezaji Milton Karisa (28) ambaye anatarajiwa kuondoka katika Klabu yake ya Vipers.

Klabu ya Simba inaungana na Klabu APR ya nchini Rwanda kuiwania saini ya mchezaji Milton Karisa (28) ambaye anatarajiwa kuondoka katika Klabu yake ya Vipers. Karisa anaweza kucheza katika nafasi tatu akiwa uwanjani, anaweza kucheza kama winga pande zote mbili pamoja na namba tisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: