Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wapanga kuibomoa Coastal Union

Lameck Lawi Lameck Elias Lawi

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Simba Umefufua Mpango wa kuipata saini ya Mlinzi wa kati wa klab ya Coastal Union Lameck Elias Lawi.

Uongozi wa klabu ya Simba Umefufua Mpango wa kuipata saini ya Mlinzi wa kati wa klab ya Coastal Union Lameck Elias Lawi. Imefahamika kuwa Ofa kutoka Simba SC kwenda kwa Wagosi wa kaya tayari imeshatumwa na kinachosubiriwa sasa ni majibu na makubaliano mengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: