Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wampa "Thank You" Babacar Sarr

Babacarr Sarr Babacar Sarr

Wed, 10 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kiungo mkabaji Babacar Sarr.

Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kiungo mkabaji Babacar Sarr. Babacar alijiunga na Simba katika dirisha la usajili la mwezi Januari akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na timu ya US Monastir ya Tunisia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: