Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wakubali kichapo dakika za Jioni, waburuza mkia Kundi B

Wydad Vs Simba 1 0.jpeg Mchezo umemalizika kwa wenyeji Wydad kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Sun, 10 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi, Timu ya Simba SC imekubali kichapo cha 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca na kuporomoshwa mpaka mkiani mwa msimamo wa kundi B.

Mchezo huo wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika umepiga katika Dimba la Marrakesh nchini Morocco.

Bao pekee la Wydad katika mchezo huo limefungwa na Zakaria Draoui dakika ya 90+5', na kuwapa ushindi wa kwanza Wydad.

MSIMAMO KUNDI B

Asec (pointi 7)

Jwaneng (4)

Wydad (3)

Simba SC (2)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: