Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba sasa "full Mziki", Lakred atua kambini Misri

Lakred Misri Simba sasa "full Mziki", Lakred atua kambini Misri

Wed, 10 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda Mlango wa Klabu ya Simba, Raia wa Morocco Ayoub Lakred amewasili kati kambi ya Klabu ya Simba iliyopo nchini Misri inayojiandaa na msimu mpya 2024/25.

Lakred anatazamiwa kuchukua nafasi ya Aishi Manula anaetajwa kutimkia Klabu ya Matajiri wa Chamazi Azam FC.

Ayoub hakuongozana na Msafara wa Simba uliotoka na kikosi cha Simba Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: