Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC yapata pigo

Yui Simba Kamma Simba SC yapata pigo

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanachama Maarufu wa Klabu ya Simba, Daniel Kamna, amefariki Dunia. Kamna atakumbukwa sana jinsi alivyokuwa mstari wa mbele mara zote katika kuipigania Klabu hiyo kama Mwanachama katika uhai wake.

Sio tu mapenzi makubwa aliyekuwa nayo na Simba lakini Kamna pia ni wale Wanachama ambao miaka ya nyuma walikuwa wakisafiri na Simba popote inapokwenda na wakati fulani akiwa yeye na Marehemu Hassan Jaluo wanatajwa kama walikuwa ni wanachama waliokuwa na nguvu hata ya kupendekeza viongozi wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Klabu hiyo.

Pumzika kwa amani Daniel Kamna hakika uliipigania Simba yako kwa mapenzi makubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: