Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siku kama ya leo Messi alianza kuitumikia Barca

L MESSI Siku kama ya leo Messi alianza kuitumikia Barca

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa zamani wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ufaransa Zinedine Zidane amewahi kunukuliwa akisema kuwa 2005, Ronaldo De Lima kuelekea mchezo wao wa El Clasico ambao wangecheza Camp Nou wawe na tahadhari sana na Lionel Messi wakati huo hajulikani ndio anachipukia.

“Tulikuwa tunaenda Camp Nou kucheza mchezo wa El Clasico, fikra zetu ilikuwa ni kuwa makini zaidi na Wachezaji wa Barcelona kama Ronaldinho, Decco, Xavi na Eto’o lakini Ronaldo alituambia tunapaswa kumuhofia mchezaji mmoja mtoto anaitwa Lionel Messi basi huyo ndio tishio.”

Messi akiwa na Barcelona amecheza jumla ya mechi 778, amefunga magoli 672 na ametoa pasi za usaidizi wa magoli (assist) 269 sawa na kuhusika katika magoli 941.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: